Katika kurasa za Mitandao ya Kijamii za redio hiyo, kuna post ya
kumtambulisha Kid Bway iliyokuwa ikisomeka "Wananzengo tunayo Furaha
Kumtambulisha Mwananzengo Kid Bway@kidboytz ambae ni Mtangazaji na Mkuu wa Vipindi 102.5 Lake Fm Mwanza.
Raha yake ya Rock City ni Kuona Vipaji vya Wasanii wa Mwanza vinakua na Kutambulika hadi ngazi ya Kimataifa.
JE WEWE RAHA YAKO YA ROCK CITY NI NINI?
Follow #LakeFm Instagram, Twitter & Facebook@lakefmmwanza
#RahaYaRockCity & #RadioYaWananzengo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni