Mshambuliaji
kinda wa Manchester United, Mracus Rashford. ametajwa katika kikosi
Roy Hodgson cha wachezaji 23 wa Uingereza watakaocheza Michuano ya
Mabinwa Ulaya nchini Ufaransa.
Rashford,
18, alifunga goli lake la kwanza akiichezea Uingereza katika mchezo
wa kimataifa wa kirafiki walioibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya
Australia siku ya Ijumaa.
Katika
kikosi hicho yupo pia mshambuliaji wa Uingereza Daniel Sturridge
lakini mchezaji wa Newcastle United, Andros Townsend na wa
Leicester City Danny Drinkwater wote wameachwa.
Kikosi
kamili cha Uingereza ni kama ifuatavyo:-
1.
Joe Hart
2.
Kyle Walker
3.
Danny Rose
4.
James Milner
5.
Gary Cahill
6.
Chris Smalling
7.
Raheem Sterling
8.
Adam Lallana
9.
Harry Kane
10.
Wayne Rooney
11.
Jamie Vardy
12.
Nathaniel Clyne
13.
Fraser Forster
14.
Jordan Henderson
15.
Daniel Sturridge
16.
John Stones
17.
Eric Dier
18.
Jack Wilshere
19.
Ross Barkley
20.
Dele Alli
21.
Ryan Bertrand
22.
Marcus Rashford
23.
Tom Heaton
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni