Jumatano, 1 Juni 2016
23 WATANGAZWA KIKOSI CHA UFARANSA TAYARI KWA EURO 2016
Timu ya soka ya taifa ya Ufaransa imetangaza majina ya wachezaji 23 ambao wataipigania timu hiyo katika michuano ya Euro 2016.
Goalkeeper: Benoit Costil (Rennes), Hugo Lloris (Tottenham), Steve Mandanda (Marseille).
Defenders: Lucas Digne (Roma), Patrice Evra (Juventus), Christophe Jallet (Lyon), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Manchester City), Samuel Umtiti (Lyon), Bacary Sagna (Manchester City), Adil Rami (Sevilla).
Midfielders: Yohan Cabaye (Crystal Palace), Lassana Diarra (Marseille), N'Golo Kante (Leicester), Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle).
Forwards: Kingsley Coman (Bayern Munich), Andre-Pierre Gignac (Tigres), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Anthony Martial (Manchester United), Dimitri Payet (West Ham)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni