.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Juni 2016

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WATOA MSAADA WA COMPUTERS NA PRINTERS KWA BODI YA NGO’S KUPITIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, WAZEE NA WATOTO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa GEPF Bw Edgar Shumbusho akimkabidhi baadhi ya vifaa hivyo Katibu Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto Bi Sihaba Nkinga
Katibu Mkuu Bi Sihaba Nkinga akitoa nenola shukurani kwa niaba ya wizara kwa ujumbe kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF
Mjumbe wa Baraza la NGO Bw Ajax Diria akitoa neon la shukurani kwa niaba ya baraza akishuhudiwa na mwenyekiti wa Baraza Bi Rukia Masasi

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Bw Aloyce Ntukamazina akielezea shughuli za Mfuko na mafanikio yaliyopatikana katika sekta binafsi ikihusisha na NGO’s kwa kipindi cha mwaka 2015/16 kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa wizara Bw Baraka Leonard


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni