RAIS DKT MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS WA SAHARAWI, AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA UBELGIJI, BALOZI WA MAREKANI NA KUAGANA NA BALOZI WA ITALY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya Nje wa Ubelgiji Mhe. Didier Reynders aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italy nchini Mhe. Luigi
Scotto aliyemtembelea na kumuaga baada ya kumaliza muda wale wa kazi Ikulu Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akitoa pole kwa Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Saharawi
nchini Mhe. Brahim Buseif alipokwenda ubalozini hapo kutoa pole na
kusaini Kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Rais wa Saharawi Mhe. Mohamed
Abdelaziz Mikocheni jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Mhe.
Mark Childress aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni