Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akihutubia wadau wa Jumuiya ya Benki za Wananchi kutoka mikoa yote nchini (hawapo pichani), katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage ulioko katika Jengo la Hazina Mjini Dodoma
Mkuu
wa mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Nkaya Bendera, akitoa neno la shukrani
kwa Waziri Mkuu, baada ya kufungua mkutano wa wadau wa Jumuiya ya Benki
za wananchi uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo
la Hazina mjini Dodoma
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya kuzindua tovuti ya Jumuiya
ya Benki za Wananchi katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika jengo la
Hazina mjini Dodoma
Wadau
wa sekta ya Benki za Wananchi kutoka mkoani Morogoro, wakisikiliza kwa
makini mada zilizotolewa kuhusu uanzishwaji wa benki hizo nchini, katika
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo la
Hazina mjini Dodoma
Wadau wa sekta ya Benki za Wananchi wakisikiliza kwa makini mada zilizotolewa kuhusu uanzishwaji wa benki hizo nchini, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo la Hazina mjini Dodoma
Wadau wa sekta ya Benki za Wananchi kutoka mkoani Manyara, wakisikiliza kwa makini mada zilizotolewa kuhusu uanzishwaji wa benki hizo nchini, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo la Hazina mjini Dodoma
Wadau wa sekta ya Benki za Wananchi kutoka mkoani Mwanza, wakisikiliza kwa makini mada zilizotolewa kuhusu uanzishwaji wa benki hizo nchini, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo la Hazina mjini Dodoma
Wadau wa sekta ya Benki za Wananchi kutoka mkoani Manyara, wakisikiliza kwa makini mada zilizotolewa kuhusu uanzishwaji wa benki hizo nchini, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage, ulioko katika Jengo la Hazina mjini Dodoma
Washiriki wa mkutano wa Jumuiya ya Benki za wananchi uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage ulioko katika Jengo la Hazina mjini Dodoma, wakiwa katika Picha ya pamoja na Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyekaa katikati, baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano huo uliowashirikisha viongozi wa mikoa mbalimbali nchini.
Wakiri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Benki za wananchi nchini, Bi. Elizabeth Makwabe, baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano huo uliowashirikisha viongozi wa mikoa mbalimbali nchini katika ukumbi wa Kambarage, Jengo la Hazina mjini Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Nkaya Bendera, (kushoto), akiteta jambo la Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa nje ya Jengo la Hazina Mjini Dodoma, baada ya Waziri Mkuu kufungua rasmi mkutano wa siku moja wa Jumuiya ya Benki za Wananchi uliowashirikisha viongozi wa mikoa 26 nchini.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe, mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa siku moja wa wadau wa Jumuiya ya Benki za wananchi, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kambarage, ulioko katika jengo la Hazina Mjini Dodoma .(Picha zote na Benny Mwaipaja, WFP)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni