.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Juni 2016

WENGI WAJIUNGA NA NSSF JIJINI MWANZA

Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini Mwanza. (Na Mpigapicha Wetu)
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Aisha Sango akigawa vipeperushi vyenye taarifa kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF .
Ofisa Masoko Mwandamiza wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mmbaga akitoa elimu kuhusu NSSF kwa wanawake wajasiriamali wa kuuza viatu katika eneo la Tanganyika jijini Mwanza.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Anna Nguzo akitoa elimu kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalumla utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni