Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi akipata maelezo ya WOTE SCHEME mfumo maalum wa kuchangia unaozihusisha Sekta isiyo Rasmi pamoja na Ule Mfumo wa Ziada uliopo kwenye Sekta Isiyo Rasmi
Baadhi ya Wananchi wakijaza Fomu ya Kujiunga na WOTE SCHEME na Wengine wakijiwekea Akiba katika Banda la PPF Viwanja vya Nane Nane Ngongo Kama Picha Inavyoonekana Afisa Uhusiano Mwandamizi,Janet Ezekiel na Afisa Masoko PPF,Wakitoa maelekezo ya Jinsi ya Kujaza Fomu Hizo
Mwananchi alietembelea Banda la PPF ,Akimsikiliza kwa Makini Afisa Uendeshaji wa Kanda ya Kusini,Edgar Rwegoshora Wakati akitoa Elimu Juu ya Mfumo wa WOTE SCHEME kwa Sekta Binafsi
Afisa Uhusiano PPF,Janet Ezekiel Akitoa Maelezo ya Ujazaji Fomu Kwa Wadai waliotembelea Banda Hilo ili Kujua Faida za Kujiunga ba Mtandao Mpana wa PPF
Mfuko wa PPF upo katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi katika Maonesho ya Nane nane ili Kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya Mfumo wa WOTE SCHEME kwa Sekta Binafsi kama Vile Wakulima,Wafugaji,Mama Lishe,Madereva Bodaboda na Wajasilamali mbalimbali ili waweze kujiwekea Akiba wakati huohuo wakinufaika na Bima ya Afya,Mikopo kwa Ajili ya Kujiendeleza Kielimu,Kuongeza Mtaji na Kunufaika na Pensheni za kila Mwezi
Bi Janeth akiongea na Mtandao Huu ametoa Wito kwa Wadau Mbalimbali kutembelea Banda Hilo la PPF kwa Ajili kupata Elimu na Kujiunga na Mfuko Huo na Kufaidika na Fursa Zinazotolewa na PPF
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni