Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akiangalia jengo la ofisi ya walimu lililoathiriwa na maafa ya tetemeko la ardhi katika shule ya sekondari ya Mugeza Mkoani Kagera.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya majengo ya shule ya sekondari ya Ihungo yariyobomoka kutokana na athari za maafa ya tetemeko la ardhi Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Jumanne, 20 Septemba 2016
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHULE ZILIZOATHIRIWA NA MAAFA YA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni