Injina
Jafari Rwabigene wa Mbweni jijini Dar es Salaam, anasikitika kutangaza
kifo cha mama yake mzazi, Omumbeija Ma Helenestina Peter Rwabigene
kilichotokea siku ya jumanne 06/09/2016 katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili.
Mipango ya mazishi inafanyika Tabata Segerea kwa Dr. Mutta,
mwili wa marehemu utaagwa leo alhamisi 08/09/2016 katika Hopsital ya
Taifa Muhimbili saa tatu asubuhi, na baadaye mwili utasafirishwa kwenda
kijijini Kahororo Bukoba.
Maziko yatafanyika jumamosi 10/09/2016 kijijini Kahororo - Bukoba.
Habari ziwafikie ndugu na jamaa wote waliopo ndani na nje ya nchi.
Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, AMINA.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni