Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake
kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda
Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake
huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam
Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya
hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri
Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga na Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es Salaam Septemba 7, 2016 leo jioni tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa
Uganda Mhe, Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam
Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya
hiyo hapo kesho (Picha zote na Ikulu).

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni