Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana Ikulu Mjini UngujaWaziri
wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Balozi Ali Abeid Aman Karume akisoma
taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao
cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana
Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi akitoa mchango
wake katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji
wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana
Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheinWakuu
wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa
katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa
robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu
Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja. Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akitoa maelezo wakati wakujadili vifungu katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) Baadhi ya maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani), [Picha na Ikulu.]
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni