.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Desemba 2016

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID

maulidi
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika kitaifa, Shelui, Singida Desemba 12, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) nchewwWaziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika Shelui mkoani Singida ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majalaiwa , Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu) okkkSheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj Abubakary Zubeiry bin Ally akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika kitaifa Shelui mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majliwa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
mauBaadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza hilo katika kijiji cha Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) rehemaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili Shelui kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sheikWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj Abukary Zubeiry Bin Ally baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ndani
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, January Makamba. Muungano na Mazingira, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni