.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Januari 2017

INTERNEWS TANZANIA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KUJADILI SHERIA YA MTANDAO NA TAKWIMU

Mkurugenzi wa Internews Bw.Wence Stanslaus akiongea na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali katika mjadala wa sheria ya Mtandao na Takwimu
Mmoja wa wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.Mmoja wa wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.
Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.
Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.
Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga ) akiwa katika mjadala huo.Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga ) akiwa katika mjadala huo.
Mmoja wa wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi.Mmoja wa wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi.
Mwanasheria na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam.Mwanasheria na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu leo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu leo jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni