Mwanamuziki Janet Jackson ameonekana
kwa mara ya kwanza hadharani Jijini London akifanya manunuzi tangu
ajifungue mtoto Eissa.
Janet Jackson na mumewe Wissam Al
Mana walifanikiwa kumpata mtoto wao wa kwanza wa kiume Eissa wiki
tatu zilizopita.
Janet alikuwa ameambatana na rafiki
yake ambaye alikuwa amebeba mifuko yenye nguo za mtoto alizonunua
kwenye duka hilo.
Janet Jackson akiwa na rafiki yake aliyebeba mifuko yenye nguo za mtoto alizonunua
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni