Kiungo Henrikh Mkhitaryan amepatiwa
tuzo ya goli bora la mwezi Desemba kutokana na goli lake kali la
kuupiga mpira uliokuwa nyuma yake kwa kutumia kisigino katika mchezo
dhidi ya Sunderland.
Mchezaji huyo wa Manchester United,
alijirusha hewani na kuupiga mpira huo kwa mtindo wa mkia wa nge na
kufunga goli hilo, ingawa katika marudio ilionekana alikuwa ameotea
ila refa hakuona.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni