Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa baadhi ya mabehewa ya treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam yameakunga katika eneo la Kikongo - Kibaha mkoani Pwani. Habari zinasema ni mabehewa matano ndiyo yaliyoanguka. Tutawaletea taarifa zaidi
Abiria walionusurika wakiwa nje ya treni hiyo baada ya kuanguka
Muonekano wa treni baada ya kuanguka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni