.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Februari 2017

KATIBU MKUU RWEGASIRA: UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI BADO UPO IMARA, AWATAKA WATANZANA KUFUATA SHERIA ZA UHAMIAJI NCHI WANAZOISHI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini kutoka Msumbiji. Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji unaendelea kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za Uhamiaji za nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo halijawalenga Watanzania pekee bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi bila kufuata taratibu za kisheria nchini humo. Aidha, amewataka wananchi kutolikuza tukio hilo bila sababu za msingi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni