KONGAMANO LA UTAFITI LA KISAYANSI LA BONDE LA ZIWA VICTORIA
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Uchukuzi),
Dkt Leonard Chamuriho (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Kiwanja cha
Ndege cha Mwanza, Bi. Esther Madale kwenye banda la Mamlaka ya Viwanja
vya Ndege Tanzania (TAA), katika maonesho ya Washiriki wa Kongamano la
Mazingira la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la Ziwa Victoria
linalofanyika jijini Mwanza
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Uchukuzi),
Dkt Leornard Chamurho (kushoto), akifurahia maelezo yanayotolewa na
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Mwanza, Bi. Esther Madale kwenye banda
la Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA), katika maonesho ya
Washiriki wa Kongamano la Mazingira la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la
Ziwa Victoria linalofanyika jijini Mwanza.
Raia
wa Kenya, John Osodo (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi
Diana Munubi (kulia) alipotembelea banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA), kwenye maonesho ya Washiriki wa Kongamano la Mazingira
la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la Ziwa Victoria linalofanyika Jijini
Mwanza.
Mhandisi
Diana Munubi (wa kwanza kulia) akitoa maelezo yaliyomfurahisha Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi),
Dtk. Leonard Chamurho (wa kwanza kushoto), akifuatiwa na Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais, Prof. Faustine Kamuzora, Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Emmanuel Kalobelo na Afisa
Usafirishaji Mkuu wa Uchukuzi, Alphonce Mwingira katika maonesho ya
Washiriki wa Kongamano la Mazingira la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la
Ziwa Victoria linalofanyika jijini Mwanza.
Wafanyakazi
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) kutoka
taasisi za TAA, TCAA, TMA na DMI wanaoshiriki kwenye maonesho ya
washiriki wa Kongamano la Mazingira la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la
Ziwa Victoria, linalofanyika Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja na
Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamurho, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,
Prof. Faustine Kamuzora, na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Mhandisi Emmanuel Kalobelo.
Frank Mgeta wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, Sekou-Toure (kulia), akipata maelezo mbalimbali yanayohusu mazingira kutoka kwa Mhandisi Diana Munubi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kwenye maonesho ya washiriki wa Kongamano la Mazingira la Wanasayansi Watafiti wa Bonde la Ziwa Victoria, jijini Mwanza.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni