Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO MISSION INTERNATIONAL kabal ya mazungumzo yao,Ofisini kwa Waziri Mkuu, Jijini Dar es salaam Februari 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO MISSION INTERNATIONAL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni