Aliyekuwa rais wa Marekani, Barack
Obama, amekuwa na wakati mzuri wakati huo wa mapumziko kwa kucheza
michezo ambapo ameonekana akiwa mapumzikoni Caribbean na rafiki wake
bilionea Richard Branson.
Picha mpya za Obama zinamuonyesha
akicheza mchezo wa ku-Surf majini akiwa na Branson, hii ikiwa ni
baada ya kukamilisha miaka yake minane ya kuliongoza taifa la
Marekani kwa mafanikio.
Obama alionekana kuweka kando pesha
za Ikulu ya Marekani, wakati aki-surf na kutaniana na Bilionea
Branson kwenye boti, huku akiachia tabasamu kubwa mbele ya kamera
wakati akifurahi mapumziko yake.
Barack Obama akiwa nusu majini akijiandaa kusimama ili aanze ku-surf
Barack Obama aki-surf kwenye maji akiwa mapumzikoni Caribbean
Barack Obama akimtishia ngumi Bilionea Branson ambaye amemkapa shingoni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni