Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Februari 11, 2017 kwa mechi nne kabla ya Jumapili Februari 12, mwaka huu kuendelea kwa michezo mitatu katika viwanja mbalimbali hapa nchini.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
http://tff.or.tz/news/778-ratiba-ya-mechi-za-wikiendi-hii-vpl-ligi-daraja-i-ligi-daraja-la-ii
WABUNGE WAHAMASIKA KUCHANGIA SERENGETI BOYS
Wakati timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ya Tanzania maarufu kama Serengeti Boys ikirejea salama jijini Dar es Salaam jana jioni, Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, leo Februari 8, 2017 wamehamasika kuchagia timu hiyo.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
http://tff.or.tz/news/777-wabunge-wahamasika-kuchangia-serengeti-boys
TFF YAPONGEZA JUHUDI ZA UJENZI WA UWANJA CHUNYA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Wilaya Chunya mkoani Mbeya na Halmashauri ya Mji huo kujenga uwanja bora wa mpira kwa miguu kwa wakazi wa wilaya hiyo.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
http://tff.or.tz/news/776-tff-yapongeza-juhudi-za-ujenzi-wa-uwanja-chunya
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni