.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Februari 2017

ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI KITETO

HOS1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji, Aziza Ibrahim wakati alipotembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HOS2
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kiteto lililopo Kibaya, Februari 15, 2017. Yuko katika ziara ya mkoa wa Manyara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HOS3 HOS4
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mti baada ya kuweka jiwe la Msingi la jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HOS6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanahamisi Abdllah akiwa na mtoto Yusra Juma (3.5) katika eneo la mapokezi la hospitali ya wilaya ya Kiteto wakati alipotembelea hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni