.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Machi 2017

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU DAR ES SALAAM LEO

GUMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Laszlo Eduard Mathe
Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

GUMU 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama,
Balozi wa Guinea nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

GUMU 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Lebonaamang Thanda Mokalake, Balozi wa Botswana nchini mwenye makazi yake jijini Lusaka, Zambia, leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
GUMU 3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Adam Maiga Zakariaou
Balozi wa Niger nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.


GUMU 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Jean Pierre Jhumun,
Balozi wa Belarus nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa Ethiopia leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

GUMU 5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Dmitry Kuptel Balozi wa Mauritius nchini mwenye makazi yake jijini Maputo nchini Msumbiji leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni