Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Nakala ya Vitabu vya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni, 2016, kutoka kwa CAG Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa anapiga makofi pamoja na Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kupokea Ripoti hizo kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Katibu Mkuu wa Ikulu Alphayo Kidata
pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Ripoti hizo
kutoka kwa CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akizungumza kabla
ya kuwasilisha Ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kupokea Ripoti hizo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea
ripoti hizo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea ripoti hizo za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Maafisa
kutoka katika Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
wakifatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa Ripoti hizo Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni