Serengeti Boys itakuwa kambini Bukoba hadi Aprili 2, mwaka huu ambako inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya timu vijana ya Burundi kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba mkoani Kagera.
Michezo hiyo itafanyika Machi 30, 2017 na kurudiana Aprili mosi, mwaka huu.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
http://tff.or.tz/news/835-
DK. MWAKYEMBE HATAKI KUFUNGWAFUNGWA
Waziri wa Mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameanza kazi katika Wizara mpya kwa pongezi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kuasisi mageuzi ya Kandanda nchini.
"Watanzania tumechoka na huu uteja, kusukumwa sukumwa tu kwenye soka. Ni hamu ya watanzania sasa tuonekane katika ulimwengu wa soka", amesema Waziri Dk. Mwakyembe aliyezungumza na Kamati ya Hamasa kwa Serengeti Boys alipokutana nayo kwa mara ya kwanza jana Machi 25, mwaka huu.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini http://tff.or.tz/news/834-
UAMUZI SUALA LA UCHAGUZI RUKWA
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limewatia hatiani viongozi watatu akiwamo Mwenyekiti wa Kamati ya
Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Rukwa (RUREFA), James
Thomas Makwinya.
Viongozi wa RUREFA waliotiwa hatiani ni pamoja na Blassy Kiondo na
Kaimu Katibu Mkuu, Ayoub Nyauringo ambao Kamati ya Nidhamu chini ya
Mwenyekiti Abbas Tarimba iliyosikiliza shauri hilo zaidi ya mara tatu
kabla ya kufikia uamuzi.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini http://tff.or.tz/news/833-dr-
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni