Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cyprian
Luhemeja (kushoto) akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo wakati alipotembelea kampuni hiyo
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cyprian
Luhemeja (kulia) akimtembeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo katika baadhi ya ofisi za kampuni
hiyo wakati alipotembelea kampuni hiyo mapema hii leo jijini Dar es
Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cyprian
Luhemeja (kulia) akieleza kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo, mipango na mikakati ya kampuni hiyo
katika kutatua changamoto za upatikanaji wa maji safi na salama
katika jiji la Dar es Salaam wakati Katibu Mkuu alipotembelea kampuni
hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa Kampuni ya
Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) pamoja na watumishi wa
Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA)
wakifuatilia kikao cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Prof. Kitila Mkumbo wakati alipowatembelea mapema hii leo jijini Dar
es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya
Maji Safi na Maji taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Archad
Mutalemwa (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) wakati Katibu Mkuu
alipokutana na watedaji wa Kampuni ya Usambazaji Maji Jijini Dar es
Salaam (DAWASCO) pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji
taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA), katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi
Cyprian Luhemeja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) akizungumza na watendaji wa
Kampuni ya Usambazaji Maji Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) pamoja na
watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka Jijini Dar es Salaam
(DAWASA) wakati alipowatembelea mapema hii leo katika Ofisi za
DAWASCO jijini Dar es Salaam. Picha zote na Eliphace Marwa -
Maelezo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni