Jumatatu, 3 Aprili 2017
MAJALIWA AKITETA NA SPIKA WA BUNGE NDUGAI
kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Aprili 3, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni