Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaakofia) akifanya mazoezi na vikundi vya michezo kutoka Zanzibar na Tanzania Bara kabla ya kufungua Bonanza kubwa la michezo lililofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi, Zanzibar.Katika hotuba yake, Masauni aliwataka wanamichezo hao pamoja na wananchi hapa nchini kwa ujumla,kudumisha mazoezi zaidi ili waweza kupata afya bora. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akifanya mazoezi na vikundi vya michezo kutoka Zanzibar na Tanzania Bara kabla ya kufungua Bonanza kubwa la michezo lililofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi, Zanzibar. Katika hotuba yake, Masauni aliwataka wanamichezo hao pamoja na wananchi hapa nchini kwa ujumla,kudumisha mazoezi zaidi ili waweza kupata afya bora. NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wanamichezo wavikund imbalimbali kutoka Zanzibar na Tanzania Bara mara baada kiongozi huyo kufanya mazoezi ya viungo na wanamichezo hao katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi, Zanzibar. Katikahotubayake, Masauni aliwataka wanamichezo hao pamoja na wananchi hapa nchini kwa ujumla,kudumisha mazoezi zaidi ili waweza kupata afya bora.
NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi,
Mhandisi Hamad
Masauniakiumwagiliamajimtiwakumbukumbualioupandakatikaeneo la
MakaoMakuuyaJeshi la Wananchi, Zanzibar,
marabaadayakufanyamazoeziyaviungokatika Bonanza la
VikundivyaMichezokutokavisiwanihumopamojana Tanzania Bara.
MasaunialiwakilishaMakamuwaRais, Sami Suluhukatikasherehehiyo.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni