Kocha Arsene Wenger analenga kutwaa
kombe la Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kutia saini mkataba wa
kuendelea kuinoa klabu hiyo kwa miaka miwili.
Kwa wale mashabiki wa Arsenal
waliokuwa wakishinikiza aondoke itabidi kuwa wapole tu kwani makataba
huo mpya hautovunjwa na utamfanya awe na Arsenal kwa miaka 33 sasa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni