Mkuu wa Shule ya St. Joseph Cathedral, Sista Theodora Faustine akimkabidhi zawadi na cheti, Prof. Rwekaza Mukandala ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha sita, ili ampatie mhitimu. Mahafali hayo yalifanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Viranja wa darasa la PCM, Martin ….. na Nsobya Musona wakipokea zawadi ya keki kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. Rwekaza Mukandala ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha sita ya Shule ya St. Joseph Cathedral, yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13,2017) shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Bibi Margreth Ikongo akitoa shukkrani mgeni rasmi, Prof. Rwekaza Mukandala pamoja na wazazi na walezi walioshiriki mahafali ya sita ya kidato cha sita ya shule ya sekondari ya St. Joseph Cathedral yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Baadhi ya wazazi, walezi na ndugu walioshiriki mahafali ya sita ya kidato cha sita ya shule ya sekondari ya St. Joseph Cathedral yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni