.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 30 Mei 2017

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) George Simbachawene na Waziri wa Elimu, Teknolojia na Ufundi,Joyce Ndalichako, Bungeni mjini Dodoma Mei 30, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, Bungeni mjini Dodoma Mei 30, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki, Bungeni mjini Dodoma Mei 30, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. Katikati ni Mbunge wa viti maalum Taska Mbogo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. Katikati ni Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni