Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa kipindi cha miaka kumi na tano Mh. Philemoni Ndesamburo amefariki dunia.
Mzee Ndesamburo aliyekuwa mbunge wa jimbo la Moshi Mjini kwa vipindi vitatu kuanzia mwaka 2000 hadi 2015 amefariki dunia leo katika hospitali ya Kcmc akiwa na umri wa miaka 82.
Taarifa juu ya kifo chake zimethibitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni