.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 12 Mei 2017

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN

unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
A
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
A 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]12/05/2017.
A 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]12/05/2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni