.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 11 Mei 2017

RAIS WA ZANZIBAR, DK.SHEIN AREAJEA AKITOKEA KATIKA ZIARA YAKE NCHINI DJIBOUT

ana1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,(kulia) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Balozi Ali Abeid Karume, [Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali  wakati wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.
ana5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama cha Mapinduzi wakati wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]10 /05/2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni