.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Juni 2017

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Bw. Mohamed Mpuku mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) , akiuliza swali kwa meza kuu mbele kwenye mkutano wa wafanyakazi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Transit TB I, akiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mahala pa kazi iliyoanza Juni 16-23
Bw. Musso John wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), aliyesimama akiwasilisha hoja zake leo kwa meza kuu wakati Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw. Mtengela Hanga alipokutana na wafanyakazi kwenye ukumbi wa Transit TB I, ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16-23
Bi. Mastidia Ndomulwango akiwasilisha mapendekezo yake kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Mtengela Hanga, katika mkutano wa wafanyakazi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Transit TBI, katika Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza Juni 16-23.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni