.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 24 Juni 2017

IGP SIMON SIRO KATIKA SHEREHE ZA KUMALIZA KOZI NAMBA MOJA KWA MAOFISA UHAMIAJI CCP MOSHI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akikagua gwaride la maofisa wa uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao, sherehe zimefanyika leo chuo cha polisi moshi CCP. Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Peter Makakala wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao. Sherehe zimefanyika leo Chuo cha Polisi Moshi (CCP). Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni