Jumapili, 18 Juni 2017
JUMUIYA YA TAQWA ORPHANS TRUST YATOA FUTARI KWA YATIMA KISIWANI PEMBA
MWAKILISHI wa Jumuiya ya TAQWA Orphans Trust Tanzania Abdullah Mohamed Khassim katikati, akiwakabidhi misada ya Futari Viongozi wa Jumuiya ya Tahafidh Qur-an na maendeleo ya Kiislamu Ole, kwa ajili ya watoto mayatima waliomo katika Jumuiya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya walezi wa watoto mayatima kutoka jimbo la Ole, wakiwa wamejitwika futari za Vijana wao baada ya kukabidhiwa na Jumuiya ya TAQWA Orphans Trust Tanzania.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jumuiya ya TAQWA Orphans Trust Tanzania Abdullah Mohamed Kassim, mwenye miwani akimkabidhi Futari mmoja ya walezi wa watoto mayatima katika kijiji cha Kiungoni Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni