.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Juni 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA HARAMBE YA UJENZI KANISA PAROKIA YA ZUZU DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Kushoto) akiwa ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda walipo mpokea katika makazi yao yaliyopo Zuzu Nnje Kidogo ya Mjini Dodoma June 17, 2017 kuhudhuria Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Exavery Pinda Baba Mzazi wa Mizengo Pinda, Pamoja nakuongoza Uchangiaji wa Ujenzi wa Nyumba ya Paroko na Ukarabati wa Kanisa la Parokia ya ZUZU. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwaniaba ya familia yake akimkabidhi Mchango wa Shilingi Milioni Kumi Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda . Kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Paroko pamoja nakufanyia Ukarabati wa Kanisa Parokia ya ZUZU Dodoma, Kushoto ni Msaidizi wa Askofu Jimbo la Dodoma Baba Chesco Msaga . Harambe hiyo imefanyika June 17, 2017 katika Makazi ya Waziri Mkuu Mstaafu Pinda yaliyopo ZUZU Nnje kidogo ya Mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akiwaonyesha Wageni waalikwa Shilingi Milioni Kumi Mchango alizo kabidhiwa na Wziri Mkuu Kassimu Majaliwa kwa niaba ya Familia yake , Kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Paroko pamoja nakufanyia Ukarabati wa Kanisa Parokia ya Zinje (ZUZU)Dodoma, Kushoto ni Msaidizi wa Askofu Jimbo la Dodoma Baba Chesco Msaga . Harambe hiyo imefanyika June 17, 2017 katika Makazi ya Waziri Mkuu Mstaafu Pinda yaliyopo ZUZU Nnje kidogo ya mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni