.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Julai 2017

KAMPUNI YA PUMA YAKABIDHI GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7

 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Dk. Ben Moshi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. bilioni 7 ikiwa ni gawio la serikali yenye hisa ya asilimia 50 katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Philippe Corsalettti.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akimshukuru Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Philippe Corsalettti, alipokuwa akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya sh. bilioni 7 ikiwa ni gawio la serikali yenye hisa ya asilimia 50 katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Dk. Ben Moshi.
                                                           Dk. Philip akizungumza wakati wa hafla hiyo
                                                    Shughuli ya kukabidhi hundi ikiendelea


Waziri, Dk. Mpango na CEO wa Puma, Corsalettti. wakiwa na furaha wakati wa makabidhiano. Puma naoyo imepata gawio la sh. bil. 7
                                    Sehemu ya wanahabari walioshiriki kwenye hafla hiyo
Dk. Mpango akifafanua jambo kwa kusisitiza Taasisi mbalimbali za Serikali kuboresha huduma zao na kuipatia serikali gawio kubwa.
 Wanahabari wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika Ofisi za Hazina mjini Dodoma
                                       Wakiwa na furaha baada ya hafla hiyo kufanikiwa
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mpango (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Puma, pamoja na manaibu makatibu wakuu.. Kutoka kulia ni Katibu wa Bodi ya Puma, Gibson Mgima, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika, CEO wa Puma, Corsaletti, Mwenyekiti wa Puma, Dk. Moshi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, D. Juliana Palangyo.
Dk Mapango akipongezana na CEO wa Puma Corsaletti pamoja na Mwenyekiti wa Puma, Dk. Moshi
CEO wa Puma, Corsaletti akipongezana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk.Pallangyo
CEO wa Puma, Corsaletti akipongezana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Mwanyika
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Dk. Ben Moshi (katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma, Philippe Corsalettti wakati wa hafla ya kampuni hiyo kukabidhi gawio la sh. bilioni 7 kwa serikali mjini Dodoma
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma, Philippe Corsalettti akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini, Dk. Pallangyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni