.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Agosti 2017

MKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM AJINYAKULIA ZAWADI YA JUMLA TOKA SUMSUNG

Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto) akikabidhi zawadi ya jumla (inayojumuisha Samsung microwave oven, friji na TV inch 42 ) kwa Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ iliyolenga kupambana na bidhaa feki nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam ikihashiria hitimisho ya promotion hiyo.
Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa zawadi ya jumla ya bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ akikagua zawadi yake mara baada ya Makabidhiano. kushoto ni Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung
Rayton Kwembe Mkuu wa kitengo cha bidhaa za majumbani Samsung Tanzania (katikati kulia) akishikana mkono na mshindi wa zawadi ya jumla ya bahati nasibu ya ‘Nunua Sajili na ushinde’ Bw Rajabu baada ya Makabidhiano yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es Salaam. Kulia Meneja Bidhaa wa Samsung, Bw. Elias Mushi na Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni