Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihotubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Veta Jimbo la Ulyankulu wilayani Kaliua Mkoani Tabora leo August 11.2017, ambapo amewataka wananchi waliopewa uraia kuheshimu sheria za nchi vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria. Picha na Ofisi ya Waziri MkuuIjumaa, 11 Agosti 2017
WANANCHI WALIOPEWA URAIA MUHESHIMU SHERIA ZA NCHI ,MAJALIWA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni