Waziri Mkuu Kassim Majliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakipata makaribisho Nchini Cuba jana August 17/2017 kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ziara ya kikazi Nchini Cuba
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili jana August 17/2017 katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ajili ya ziara ya kikazi Nchini Cuba. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni