.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Septemba 2017

IGP SIRRO YUPO NCHINI UGANDA KUSHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MAZIWA MAKUU

1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, yupo Kampala nchini Uganda, kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki (EAPCCO) ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.2 (2)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki (EAPCCO) unaofanyika Kampala nchini Uganda, wakifuatilia mada inayowasilishwa mbele yao katika mkuatano ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi, katika mkuatano huo yupo pia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania. 2

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni