Eden Hazard ameiokoa Chelsea
kutoharibu rekodi yake ya kutofungwa baada wagumu Roma kupambana
kutoka nyuma magoli mawili kwa bila na kuongoza katika dimba la
Stamford Bridge.
Katika mchezo huo Hazard alifunga
goli moja katika kila kipindi na alifunga goli la kusawazisha dakika
15 kabla ya mpira kuisha na kufanya matokeo kuwa 3-3 na kuifanya
Chelsea kuongoza kundi C.
Hazard alifunga goli la pili baada
ya David Luiz kufunga goli zuri la kwanza lakini Roma walipambana na kufunga goli kupitia
kwa Aleksandar Kolarov na kisha Edin Dzeko kufunga magoli mawili
ndani ya dakika sita.
Beki David Luiz ambaye jana alicheza nafasi ya kiungo akifunga goli
Mchezaji wa zamani wa Manchester City Aleksandar Kolarov akifunga goli la tatu la Roma
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni