.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 12 Oktoba 2017

NYOTA WA LEICESTER CITY AHMED MUSA AFUNGUA KITUO CHAKE CHA MAFUTA

Nyota wa Leicester City Ahmed Musa amefungua kituo chake cha mafuta nyumbani kwao Nigeria, katika kujiandaa na maisha baada soka.

Mchezo wa soka ni miongoni mwa kazi ambayo mtu huifanya kwa muda mfupi kabla ya kustaafu na inaonekana Musa kashaliona hilo na kulifanyia kazi.

Kituo hicho kiitwacho 'Myca-7' kilichopo Kano, Nigeria kinasemekana ni cha pili kwa mshambuliaji huyo wa Leicester kukifungua.

Ahmed Musa mwenye umri wa miaka 24, pia anamiliki kituo cha Michezo na Mazoezi katika baadhi ya biashara zake.
                    Ahmed Musa akifurahia jambo huku akimuwekea mteja wake mafuta
        Hata Bajaj nazo zipo Nigeria na hapa Ahmed Musa akiweka mafuta kwenye Bajaj

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni