.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 23 Oktoba 2017

RAIS DR. MAGUFULI AMTEUA PROFESA LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ). 

Rais Dr. Magufuli amemtangaza Profesa Luoga Ikulu jijini Dar es Salaam leo jumatatu baada ya kuwakabidhi vyeti wajumbe wote wa kamati zilizoshiriki kuchambua kiwango, aina na thamani ya madini katika makanikia. 

Profesa Luoga atachukua nafasi ya Gavana wa sasa, Profesa Benno Ndulu ambaye anamaliza muda wake mwishoni mwa mwaka huu.
                                                                           Profesa Florens Luoga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni