.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 6 Oktoba 2017

SSRA YATOA MAFUNZO KWA WASHIRIKI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA

IMG_0375 IMG_0377
Mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika -Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa elimu kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
IMG_0412
Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa wananchi.
IMG_0431
Bibi. Agnes Lubuva, Afisa Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu kazi na wajibuwa SSRA katika kusimamia Hifadhi ya Jamii nchini.
IMG_0433
MuonekanowaBanda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), katikaMaadhimishoya Wiki ya Fedha yanayoendelea katika Viwanja vy aMnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

                                                                Picha zote na: Thomas Nyindo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni