WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania Bw. Richard Tumusiime Kaonero, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni