Zikiwa Zimebaki Siku Chache Kuelekea Wiki Ya Nenda Kw Ausalama Barabarani Wamiliki Na Madereva Wa Vyombo Vya Usafirishaji Nchini wametakiwa Kukagua Vyombo Vyao Vya Usafirishaji Mapema Ili Kubaini Matatizo Mbalimbali Ya Vyombo Hivyo Na Kuvifanyia Marekebisho Ili Kuepuka Usumbufu Juu Yao
Agizo Hilo Limetolewa Leo Na Mh Yusufu Masauni Naibu Waziri Wa Mambo Ya Ndani ya Nchi Alipokuwa Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Ofisini Kwake Na Kuwataka Wamiliki Na Madereva Wa Vyombo Vya Usafiri Kutii Sheria Bila Shurti Kwani Adhabu Kali Zitachukuliwa Juu Yao na Baada Ya Ukaguzi magari yao Yatabandikwa Stika Maalum Ili Kuwabaini Watakaokaidi Agizo Hilo
Aidha Mh Masauni Amebainisha kuwa Magari Ambayo Yanatakiwa Kufanyiwa Ukaguzi Mapema Ni Magari Ya Wanafunzi Magari Ya Kubeba Mizigo Na Mabasi Ya Abiria Pia Amewataja Mawakala Ambao Watashirikiana Nao Kuyafanyia Uchunguzi Magari Hayo Ni Temesa Pamoja Na NIT Maadhimisho Hayo Kwa Mwaka Huu Kitaifa Yatafanyika Mkoa Kilimanjaro Yatazinduliwa Rasmi Tarehe 16/10/2017 Hadi Tarehe 21/10/2017 Katika Viwanja Vya Shujaa na Mgeni Rasmi atakuwa ni Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan,
“Kauli Mbiu Ya Mwaka Huu Ni Zuia Ajali Tii Sheria Okoa Maisha”
Hata Hivyo Mh Masuni Ameyashukuru Makampuni Mbalimbali Ikiwemo Vodacom Geita Gold Mine Selcom, Vodacom na Puma. Na TBL Kwa Kufanikisha Maadhimisho Hayo Kwa Kutoa Ushirikiano Wa Hali Na Mali,
Akizungumza Katika Kikao Hicho Afisa Mawasiliano wa Mambo Ya Nje TBL Amanda Walter Amesema Wamekuwa Wakishiriki Kwa Miaka 9 katika Kampeni Mbalimbali Za Usalama Barabarani Hivyo Kampuni Hiyo Kwa Mwaka Huu Imejitolea Milioni Thelathini Kwa Ajili Ya Kuwapima Afya Madereva 1000 Magonjwa Mbalimbali Ikiwemo Macho, Maralia Na Kisukari
Nae Bwana Shayo kutoka Kampuni ya mgodi wa Geita Gold Mine Amesema Kampuni Yao Imetoa Shilingi Milioni Sitini Na Mbili Kwa Ajili Ya Stika Hizo Ili Kukamilisha Maadhimisho hyo Pia Amesema Wameamua Hivyo Kwakua Usalama Barabarani Ni Wa Kila Mmoja Hayabagui Mtu

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni